Sunday 24 July 2016

PAUL POGBA: AGENT WA POGBA YUKO MBIONI KUKAMILISHA UHAMISHO WA POGBA KURUDI TENA MANCHESTER UNITED KWA DAU LA £110 MILIONI


Habari zinazoingia kutoka Miami ni kwamba Agent wa Paul Pogba, Mino Raiola, ameingia Miami kuongea na Pogba kuhusu taratibu za mkataba mpya ambao utaona Pogba anapata £290,000 kwa wiki ikiwa ni pamoja na nyongeza za bonus...


Dili la Pogba ni £110 milioni na limeanza kusukwa muda mrefu...Pogba alianza kuichezea Manchester United kabla ya kupewa free transfer kwenda Juventus miaka 4 iliyopita...Juve nao wametoka kumchukua Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment