Friday 1 July 2016

EURO 2016: PORTUGAL YAINGIA NUSU FAINALI KWA BAHATI


Portugal imeingia nusu fainali kwa bahati kupitia matuta...Portugal wameweza kuitoa Poland 5-3 ingawa Poland ndio walionyesha uwezo mkubwa kuliko Portugal...Hata nyota wa Portugal hakuweza kuonekana akifanya lolote bali kukosa mipira ya wazi na kubaki akilalamika tu...Bao la kwanza lilitoka kwa Poland mwanzo kabisa dakika ya 2...Lewandowski ndie aliyepachika bao na dogo Renato Sanches alisawazisha dakika ya 33...


Sanches mwenye umri wa miaka 18 ndie aliyekuwa gumzo la game ya jana kutokana na umahiri wake wa kupambana...Bofya hapa upate habarizaidi.

No comments:

Post a Comment