Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Wednesday, 6 July 2016
WIMBLEDON 2016: VENUS WILLIAMS NDANI YA NUSU FAINALI TOKA MWAKA 2009
Venus Williams amefanikiwa kuingia nusu fainali ya michuano mikubwa ya Wimbledon baada ya kumchapa Yoroslava Shvedova 7-6 (7-5) 6-3...Mdogo wake Venus, Serena Williams, nae amaingia nusu fainali alivyo mchapa Anastasia Pavluchenkova 6-4 6-4....Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment