Tuesday 19 July 2016

MANCHESTER UNITED: JOSE ANATAKA KUJAZIA TIMU YAKE NA FABINHO KUTOKA MONACO


Brazil International dogo, Fabinho, ambae kwa sasa anaichezea Monaco katika nafasi ya beki wa kulia anasakwa na Jose Mourinho sana...Monako wameweka dau la dogo mwenye umri wa miaka 22 Pounds milioni 25...


Mourinho amesheheni kikosi chake na anajaribu kumalizia usajili wake wa kikosi cha kazi ndani ya Old Trafford...Fabinho ana urefu wa futi 6 na inchi 2 na ni beki makini sana na amewasaidia sana Monaco kuwa na rekodi nzuri msimu wa 2014-2015...


Katika hali hii akiingia Old Trafford atakuchua nafasi ya Matteo Darmian ambae ameingia Manchester United mwaka jana tu...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment