Saturday 2 July 2016

EURO 2016: WALES WAMEPAMBANA MPAKA WAMEWEKA HISTORIA


Wales wametoka nyuma na kuwaangusha wakongwe Belgium kwenye game ya robo fainali...Mechi ilikuwa kali sana na Belgium walianza kuona mwanga wakati Radja Nainggolan akipopiga mkwaju hatari mapema dakika ya 13...


Captain wa Wales Ashley Willams alisawazisha kwa kichwa dakika ya 30...Mchezaji asiye na club Hal Robson-Kanu aliwanyanyua mashabiki wa Wales dakika ya 55...Belgium walishambulia sana mwishoni laniki kichwa cha Sam Vokes kikawamaliza nguvu kabisa Belgium...


Wales watakutana na Potugal nusu fainali...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment