Sunday 24 July 2016

CRICKET: KRAIG BRATHWAITE AWASIFU INDIA KWA KUBOWL KWA UMAKINI


Bowler wa West Indies , Kraig Brathwaite, amewasifu India kwa kuweza ku bowl kwa umakini...India waliweza kupata runs 243 katika innigs ya kwanza...Brathwaite amesema hajaona timu ikicheza vizuri hasa kipindi cha mwanzo wa michuano...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment