Friday 15 July 2016

THE OPEN: PHIL MICKELSON AENDELEA KUONGOZA


Phil Mickelson anaongoza The Open Championship akiwa na score ya -10...Michuano hiyo iko nusu ya safari sasa...Nyuma yake yuko Henrik Stenson ambae amechezea vizuri kwa kupata -6 65 kwa leo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment