Wednesday 6 July 2016

AC MILAN: SILVIO BERLUSCONI AMEUZA TIMU YAKE KWA WACHINA


Rais wa AC Milan, Silvio Berlusconi, ameamua kuuza timu yake kwa watega uchumi kutoka China...Berlusconi ambae ametoka kufanyiwa upasuaji wa moyo amesema ameamua kuuza timu yake katokana na kwanza hawezi tena kufanya kazi kama livyokuwa anafanya hapo nyuma Nani amebakiza watu ambao watazizuia timu ndani na nje ya Italy....Walionunua AC Milan watampa £338 milioni kwa miaka 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment