Tuesday 12 July 2016

SOUTHAMPTON FC: DOGO WA BAYERN MUNICH PIERRE-EMILE HOJBJERG AKALIMILISHA USAJILI SOUTHAMPTON


Pierre-Emile anatokea Denmark aliingia alianza kucheza timu ya Bayern Munich akiwa na miaka 17 tu chini ya uangalizi wa Pep Guardiola...Msimu uliopita alikuwa anachezea timu ya Bundesliga ya Shalke kwa mkopo...Deal ya Pierre-Emile kuingia Southampton ni Pounds milioni 12 kwa miaka 5...


Pierre-Emire ameamua kuingia Premier League baada ya kuwekwa benchi sana Bayern Munich...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment