Friday 1 July 2016

BOXING: CANELO KUZICHAPA NA LIAM SMITH NA BADAE LABDA BILLIE JOE SAUNDERS


Mechi ya Canelo Alvarez na Liam Smith itafanyika September 17...Liam ni dogo ambae anaweza kujitahidi na kupambana ulingoni...Itakuwa ngumu kumchapa Canelo lakini hata hivyo itakuwa mechi kali ambayo itampa tizi zuri Liam...Baada ya mechi hiyo labda Billy Joe Saunders atapambana na yoyote atakae shinda ingawa kwa uzoefu atakuwa Canelo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment