Friday 8 July 2016

LA LAKERS: LUOL DENG NDANI YA LAKERS KWA DAU LA $72 MILIONI


Forward wa zamani wa Miami Heat amechukuliwa na LA Lakers kwa dau la milioni $72 milioni...Luol Deng ambae  ni free agent amesaini mkataba wa miaka 4...Deng ni mzaliwa wa Sudan lakini anawakilisha England na amewahi kuichezea England kwenye Olympics za 2012...Amewahi pia kuichezea Chicago Bulls miaka ya 2004-2014...Pamoja na Deng Lakers wamesaini mikataba na Jordan Clarkson na Ivica Vubac...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment