Friday 8 July 2016

MANCHESTER CITY: PEP AUNGANA NA MIKEL ARTETA KWENYE CHAKULA CHA JIONI


Pep Guardiola kocha mpya wa Manchester City aliungana na kocha mpya msaidizi wa Man City Mikel Arteta na kocha Domenec Torrent kwa chakula cha mchana jijini Manchester...



Walienda kupata chakula cha jioni karika mgahawa Australasia eneo la Springfield...

Bila shaka walizungumzia mipango mipya ya club ya City wakati wakifurahia msosi...City wanataka kumchukua beki wa Everton John Stones...Bofya hapa upate habri zaidi.

No comments:

Post a Comment