Friday 8 July 2016

EURO 2016: ANTOINE GRIEZMANN AWAZAMISHA GERMANY


Hatimaye mbabe kapatikana kwenye Euro 2016...Mechi ambayo ingechezwa kama fainali ilikuwa ikisubiriwa sana na mashabiki wa mpira duniani nzima...France na Germany ni timu 2 bora kwenye michuano ya Euro 2016...



Katika mechi ya nusu fainali France waliibuka na ushindi wa wa uhakika baada ya kuwachapa Germany 2-0...Mabao yote yalitoka kwa Antoine Griezmann huku akishangilia kama Drake kwenye kibao chake kinachiwika cha 'hotline bling'...



Ni mara ya kwanza toka mwaka 1958 France wanawachapa Germany katika mashindano makubwa...



Griezmann anaongoza kwa mabao kwenye michuano hii na Golden Boot haiko mbali...France watachaza fainali na Portugal...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment