Tuesday 5 July 2016

MANCHESTER CITY: ARTETA KUWA KOCHA MSAIDIZI MAN CITY


Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Mikel Arteta, atakuwa kocha msaidizi wa Manchester City...Arteta aliingia Arsenal mwaka 2011 na alikuwa msaada mkubwa sana wakati Song alipoondoka kwa kucheza nafasi ya holding midfielder vizuri sana...Arteta amewahi kuchezea Paris St. Germain, Rangers SC, Real Sociedad na Everton...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment