Monday 4 July 2016

EURO 2016: FRANCE YAIGARAGAZA VIBAYA ICELAND


France wamewagaragaza Iceland 5-2 na kuingia nusu fainali za Euro 2016 ambapo watakutana na Germany ndni ya Marseille Alhamisi ijayo...

Watu walibaki wakishangaa kuwa France wanaenda mapumziko wakiwa wanaongoza 4-0...France iliamua kucheza mpira wa ukweli na kila mchezaji alijitolea asilimia 100...


Giroud alianza kutingisha nyavu dakika ya 12 akifuatiwa na kichwa cha Paul Pogba dakika ya 19 na badae Dimitri Payet wa West Ham alipachika bao upande wa kulia...


Griezmann alipachika bao zuri sana ambapo aliwaacha mabeki na kupiga mpira juu ya kipa dakika ya 45...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment