Saturday 2 July 2016

F1: SEBASTIAN VETTEL APIGWA NA GEARBOX GRID PENALTY


Sebastian Vettel anaanza nafasi 5 nyuma kwenye Austrian Grand Prix baada ya kupata penalty ya kubadilisha gearbox...Timu zinatakiwa kukaa na gearbox moja kwa mashindani 5 lakini Ferrari waliona kuna uchafu kwenye gearbox wakaamua kubadilisha...Kwa hali hii Vettel anaweza kuanza wa 8 kwenye grid na hawezi kuanza zaidi ya nafasi ya 6...



Kutokana na tatizo hilo Ferrari wameamua kutoweka kizuizi katika gari ilikusaidia dereva asiumie wakati wa ajali....Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment