Friday 1 July 2016

FERRARI: TEAM FERARRI KUJARIBISHA GARI LENYE UZIO KATIKA AUSTRALIAN GP PRACTICE


Ferrari watajaribu gari lenye uzio ambao utamsaidia dereva akipata ajali...Watajaribu gari yenye uzio mpya katika Australian GP leo...Shirikisho la Mashindano ya Magari FIA limetoa waraka kwa team kuwa mashindano ya mwaka 2017 magari lazima yabadilike kimtazamo...Madereva wengine hawakupenda kabisa uzio huo na kusema inawazuia kuona vizuri kalini FIA wanasema usalama kwanza ndio maana wanataka kubadilisha mtazamo wa magari...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment