Sunday 10 July 2016

LEICESTER CITY FC: AHMAED MUSA KUTOKA NIGERIA AINGIA LEICESTER AKITOKEA CSKA MOSCOW


Ahmed Musa amaingia Leicester City akitokea CSKA Moscow inasemekana kwa dau la £16 milioni...Mkataba wake ni wa miaka 4...Leicester City wanafurahi kutangaza kumchukua forward wa Nigeria Ahmed Musa mwenye umri wa miaka 23 kutoka CSKA Moscow...Leicester walijaribu kumchukua Musa January lakini walikataliwa na CSKA...Musa aliwafungia CSKA Moscow mabao 54 kati ya mechi 168...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment