Monday 11 July 2016

DEREK JETER: MKALI WA BASEBALL DEREK JETER AMUOA SUPERMODEL HANNAH DAVIS


Mkali wa baseball, Derek Jeter, ambae amechezea New York Yankees misimu 20 na kubatizwa majina ya "Captain Crunch" na "Mr. November" kutokana na umahiri wake post season amefunga ndoa na supemodel Hannah Davis jijini California...Harusi ilikuwa ya watu wachache na ilifana saka huku bibi arusi alivaa gauni lililotengenezwa na designer mkali Vera Wang na bwana harusi alipiga suti nyeusi kali...Sherehe ilifanyika eneo linaloitwa Napa Valley katika uwanja wa Golf wa Meadowood Napa Valley Resort...harusi ilianza saa 11 kamili na baada ya dakika 20 tayari walikuwa wameshafunga ndoa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment