Tuesday 12 July 2016

WEST HAM UNITED: DAU LA PAYET NI 100 MILIONI POUNDS NA HAUZWI


Mwenyekiti wa West Ham, David Sullivan, amesema gharama ya kumchukua Dimitri Payet ni 100 Milioni Pounds na hauzwi...Payet ataongezewa dau labda mpaka Pounds 150,000 kwa wiki...Dau hilo ni kama la Paul Pogba ambaye Manchester united wananzengea...


Mwenyekiti huyo alisema Payet ni mchezaji mzuri na ameisaidia West Ham msimu wote na labda ni mchezaji anayeongoza kupiga free-kick duniani...


Amesema pia kwamba kama kuna mtu anataka kuvunja rekodi aje amchukue hana shida na hilo lakini kwa sasa bado yuko West Ham...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment