Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Sunday, 24 July 2016
KOLO TOURE: CELTIC YAMCHUKUA KOLO TOURE ,UONGEZA UJUZI KWENYE TIMU
Kolo Toure anaingia Celtic akitokea Liverpool kujaribu kuongeza maarifa kutokana na uelewa wake wa muda mrefu pia Celtic inaitaji kuimarisha safu yake ya nyuma...Kocha Brendan Rodgers amesema leo Jumapili Kolo atatangazwa rasmi kuwa mchezaji wa Celtic...Bofya hapa upate habari zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment