Thursday 14 July 2016

ARSENAL: MKURUGENZI WA WOLFBURG ASEMA WENGER ATAMFUKUZIA JULIAN DRAXLER


Arsenal bado wanatafuta vipaji vya bei poa na sasa Mkurugenzi mmoja wa Wolfsburg amesema inaonekana Arsene Wenger atafukuzia kifaa cha Germany Julian Draxler na wako tayari kumwachia kutokana na kukosa nafasi ya Champions League na pia mchezaji mwenyewe angependa kucheza ligi kali ya Premiership...Draxler aliwika sana katika michuano ya Euro 2016 ilioisha hivi karibuni...Dau la Draxler ni milioni 55 pounds...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment