Saturday 23 July 2016

SUNDERLAND FC: DAVID MOYES ACHUKUA NAFASI YA BIG SAM


David Moyes amechukua nafasi ya Sam Allardyce ambae amepewa jukumu la kuongoza timu ya taifa ya England...Moyez alikuwa anafundisha Real Sociedad lakini alitimuliwa November na baada ya hapo alikuwa hana kazi...Mwenyekiti wa Sunderland, Ellis Short, amesema chaguo la kwanza lilikuwa Moyes na walikuwa wanamtafuta siku nyingi...


Moyes alikuwa aingie Aston Villa lakini aliamua tofauti...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment