Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Saturday, 2 July 2016
MANCHESTER UNITED: USAJILI WA ZLATAN WAKAMIIKA
Manchester United wamekamilisha usajili wa Zlatan Ibrahimovic...Ibrahimovic amesaini mkataba wa mwaka 1 na the Red Devils...Amesema amefurahi kuingia Manchester United na yuko tayari kucheza Premier League...Ibrahimovic ni mchezaji wa 2 kusajiliwa wa kwanza ni Eric Bailly...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment