Showing posts with label Kimmi Raikonnen. Show all posts
Showing posts with label Kimmi Raikonnen. Show all posts

Sunday, 3 July 2016

F1: HAMILTON AMESHINDA AUSTIAN GP KWA MARA YA KWANZA KWA USHINDANI MKUBWA


Lewis HamiltonLewis Hamilton ameshinda Austrian GP baada ya kuchuana sana na Nico Rosberg mpaka Rosberg akamgonga mwenzake na kuharibu gari yake...



Roseburg alikosea na kupitwa na Hamilton lap ya mwisho na wakati anapitwa alimsukuma na kumgonga Hamilton lakini yeye ndio aliyeumia...Max Verstappen aliwapita Rosberg na Kimmi Raikonnen nafasi ya 3...



Katokana na kosa alilofanya Rosberg amepewa penalty ya kupunguziwa points 2 na penalty ya dakika 10...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 12 June 2016

F1: LEWIS HAMILTON AMPITA ROSEBERG KWA SEKUNDE 0.062 NA KUCHUKUA NAFASI YA KWANZA



Lewis Hamilton atakuwa nafasi ya kwanza kwenye Canadian Grand Prix leo...Sebastian Vettel wa Ferrari amekuwa wa 3...Red Bull wamechukua nafasi ya 4 chinibya Daniel Ricciardo...


Red Bull tena wamechukua nafasi ya 5 chini ya Max Verstappen na Kimmi Raikonnen amechukua nafasi ya 6...Bofya hapa upate habari zaidi.