Showing posts with label Msimbazi. Show all posts
Showing posts with label Msimbazi. Show all posts

Friday, 2 December 2016

Monday, 22 August 2016

SIMBA SPORTS CLUB: MUONEKANO WA UWANJA MPYA WA SIMBA


Baada ya kukamilisha taratibu za hisa na umiliki wa club ya Simba ujenzi wa uwanja mpya wa Simba utaanza rasmi...Paha taswira au muobnekani wa uwajna huo na majengo hapo juu...Simba itakuwa timu ya kwanza kujiendesha kisasa kama kampuni...MO Dewji atatoa bilioni 20 kwa umilikaji wa asilimia 51 za hisa na nyingine watu wengine na wanachama kwa ujumla wataweza kumiliki katika soko la hisa...

Thursday, 18 August 2016

SIMBA SPORTS CLUB: UONGOZI WA SIMBA NA MO DEWJI WAKUBALIANA KIMSINGI KUHUSU UMILIKI WA TIMU


Uongozi wa Simba umepitisha maamuzi ya awali ya kumuuzia hisa ndugu Mohammed Dewji au kwa jina maarufu mjini MO...Kikao kilifanyika Jumanne kati ya uongozi wa Simba na MO kuhusu umiliki wa MO wa asilimia 51 ya hisa za club....MO amesema atatoka 20 bilioni kununua hiza katika club hiyo ya msimbazi....Msemaji wa club ya Simba Haji Manara amesema wamekubaliaka kimsingi katika upangaji wa hisa hapo ni baada ya kukubaliana stucture ya uongozi utakaaje wiki kama 3 zilizopita...


Simba itakuwa club ya kwanza nchini na labda nchi za jirani kubadilisha mfumo na kuendeshwa kisasa kupitia umiliki wa hisa...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 31 July 2016

SIMBA SPORTS CLUB: SIMBA YAFANYA MAAMUZI YA KUBADILIKA NA KUWA KAMPUNI


Simba Sports Club wameamua kwa pamoja kubadilika na kuwa timu ya kisasa...Wamekubali kuendesha shughuli za timu kikampuni zaidi...


Dewji au kwa jina maarufu 'MO' anataka kutoa 20 billion achukue asilimia 51 ili kuiwezesha timu iendeshwe kisasa...


Mdau mashuhuri wa Max Sports na mdau mkubwa sana wa Simba SC, Octavian Mshiu, alikuwepo kushuhudia historia ambayo imewekwa na wadau wa Simba...Taswira hizi ni kwa hisani ya mdau Mshiu...Kila la heri Simba SC kwa mabadiliko haya ya kihistoria...