Thursday 10 November 2016

VODACOM PREMIER LEAGUE: SIMBA YASHIKWA MKIA NA PRISONS


Simba Sports Club wana wa Msimbazi jana walichapwa 2-1 na Prisons kwenye uwanja wa Sokoine, jiji Mbeya...
Simba walianza kutingisha nyavu kupitia Jamal Mnyate mnamo dakika ya 43 na baada ya mapumziko Prisons walisawazisha kupitia Victor Hangaya baada ya kupokea cross ya Kimenya...


Bao la ushindi lilitoka kwa huyo huyo Victor Hagaya kupitia kichwa mithili ya bao lake la kwanza.

No comments:

Post a Comment