Saturday 26 November 2016

YOUNG AFRICANS FC: GEORGE LWANDAMINA ATAMBULISHWA RASMI NA MAKAMU MWENYEKITI CLEMENT SANGA

Kocha wa zamani wa Zesco United ya Zambia George Lwandamina atambulishwa rasmi mbele ya waandishi wa habari na mashabiki...
Makamu Mwenyekiti wa Young Africans (Yanga) alijumuika na kocha wa zamani Hans Pluijm kumtambulisha rasmi kocha mpya wa Young Africans George Lwandamina
...Hans Pluijm amepandiswa cheo na kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga...Hapo nyuma kulikuwa na tetesi nyingi kuhusu nafasi ya Pluijm na kusababisha Mholanzi aandike barua ya kujiuzulu lakini barua hiyo ilikataliwa na badae akapandishwa cheo...Makamy Mwenyekiti Clement Sanga alisema "Pluijm ni bosi wa timu zote za Yanga kuanzia hii ya wakubwa hadi ile ya vijana na nyingine zitazoanzishwa, ila majukumu ya Pluijm kwa Lwandima yataishia nje ya uwanja."..."ndani ya uwanja kwa timu ya wakubwa bosi atakuwa Lwandamina na hataingiliwa na Pluijm labda kushauriwa tu, hivyo ndivyo watakavyofanya kazi"...Kocha mpya wa Yanga Lwandamina alisema "Nitajitahidi kufanya kazi pamoja na Pluijm kuhakikisha Yanga inapiga hatua zaidi ku


No comments:

Post a Comment