Monday 7 November 2016

VODACOM PREMIER LEAGUE: SIMBA YA LALA KWA AFRICAN LYON


African Lyon hatimaye imefanikiwa kuijunja rekodi ya Simba Sports Club ya mechi 13 bila kuchapwa...Bao pekee ambalo lilipatika kwa kushtukiza dakika ya 90 baada ya cross kutupiwa na Ramadhan Hafidh na kumkuta Abdallah Msuhi ambae hakukosea na kutingisha nyavu za Mnyama...Bado Simba wanaongoza ligi na bado mapambano makali tusibiri huko mbeleleni...African Lyon walitumia mbinu ya kupaki basi na kuvizia mara kwa mara na pia kipingdi cha kwanza Simba walizembea na kupoteza mipira kirahisi...Simba walipofungwa walianza kurusha makopo uwanjani wakukataa maamuzi ya refa msaidizi Frank Komba kwa madai mpiga cross aliotea.

No comments:

Post a Comment