COPA DEL REY: BARCELONA YAICHAPA SEVILLA 2-0 NA KUCHUKUA KOMBE LA 2
Barcelona imechukuwa kombe la Copa del Rey wakiwa na wachezaji 10 ndani ya uwanja wa Vincente Calderon wa Atletico Madrid...Kombe hili ni la 2 baada ya kushinda kombe la La Liga hivi karibuni...Ni mara ya 28 Barcelona wanashinda kombe la Copa del Rey...
No comments:
Post a Comment