Showing posts with label Amis Tambwe. Show all posts
Showing posts with label Amis Tambwe. Show all posts

Monday, 13 February 2017

YOUNG AFRICANS FC: YOUNG AFRICANS (YANGA) YAUA VIBAYA SANA UBINGWA WA AFRIKA


Young Africans wametoa msimamo mkali kwenye usakaji wa ubingwa wa Afrika baada ya kuwachapa wenyeji wao Ngaya Club de Mde ya Comoros 5-1...

Thursday, 26 May 2016

TFF FEDERATION CUP: YANGA MABINGWA


Dar es Salaam Young Africans au almaaruf kwa jina la Yanga wameshinda kombe la FA au Shirikisho kwa kuichapa bila huruma Azam Fc wana Lamba lamba 3-1 ndani ya Uwanja wa Ben Mkapa...

Thursday, 12 May 2016

YANGA: AMIS TAMBWE YUKO MBIONI KUWEKA REKODI YA MABAO


Burundi International Amis Tambwe yuko mbioni kuweka rekodi ya mabao kwa msimu huu...Tambwe anamabao 21 sasa na hat-trick 2...Mambo yanavyoenda atachukua tuzo ya mfungaji bora msimu huu...Mwaka jana tuzo hiyo ilienda kwa Simon Msuva...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 21 February 2016

VODACOM PREMIER LEAGUE: YANGA YAIZAMISHA SIMBA 2-0


Donald Ngoma na Amis Tambwe ndio walioizamisha Simba katika mechi ya ligi iliyofanyika jijini Dar es Salaam...Watani wa jadi Simba na Yanga huwa ni gumzo kubwa hapa mjini na jana Yanga waliweza kuwanyamazisha watani kwa mabao 2...Kwa sasa Yanga wako kileleni wakiwa na points 46 na Simba wamekaa nafasi ya 3 baada ya Azam FC kushinda 3-0 dhidi ya Mbeya City...Simba na Azam wako sawa kwa points lakini Azam wako mbele kwa tofauti ya mabao...Yanga walikuwa na bahati wakati mchezaji wa Simba Abdi kutolewa nje kwa kadi nyekundu kutokana na kufanya foul mara 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

Friday, 22 January 2016

VODACOM PREMIER LEAGUE: YANGA YAIRARUA MAJIMAJI 5-0


Yanga iko kilelelni baada ya kuirarua Maji Maji 5-0 bila ubishi...Yanga walianza mapema kupachika bao kupitia kwa Thabani Kamusoko dakika ya 4...Mpaka half-time ubao ulisoma 1-0 lakini baada ya kuingia kipindi cha 2 tu Donald Ngoma alipokwa pasi kutoka kwa Kamusoko na hakufanya kosa...Nyota wa mchezo alikuwa Amis Tambwe ambae aliondoka na hat-trick safi na sasa ni mfungaji bora kwenye ligi...Katika mechi nyingine kali Mwadui waliwachapa Kagera Sugar 2-1...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 21 January 2016

SIMBA SPORTS CLUB: KIIZA AMFIKIA TAMBWE KWA MABAO


Hamis Kiiza amemfikia Amisi Tambwe kwa kufikia mabao 10...Kiiza ambae anatoka Uganda aliweza kufanya hivyo katika mechi yao dhidi ya JKT Ruvu ambayo walishinda 2-0 ndani ya Uwanja wa Taifa...Kiiza aliweza kufikia mabao 10 alipofunga bao la kwanza la penalty...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 18 January 2016

TANZANIA MAINLAND PREMIERSHIP: YANGA KILELENI BAADA YA KUICHAPA NDANDA FC.


Yanga imerudi kilele baada ya luichapa Ndanda FC bao 1...Bao lilipatikana dakika ya 60 kupitia tuta...Kevin Yodani ndie aliyefunga bao hilo...Mechi haikuwa rahisi kwa Yanga kwani Ndanda walikaza buti kwelikweli...Awali Yanga walikosa penalty baada ya beki wa Ndanda kumfanyia ndivyo sivyo Simon Msuva lakini Amis Tambwe alikosa bao...Bofya hapa upate habari zaidi.