Monday 13 February 2017

YOUNG AFRICANS FC: YOUNG AFRICANS (YANGA) YAUA VIBAYA SANA UBINGWA WA AFRIKA


Young Africans wametoa msimamo mkali kwenye usakaji wa ubingwa wa Afrika baada ya kuwachapa wenyeji wao Ngaya Club de Mde ya Comoros 5-1...
Yanga sasa wana wakati mwepesi sana wakati wa marudiano...Mabao yalianza kufunguka dakika ya 43 kutoka kwa Justin Zulu...Happygod Msuva alifunga baoo la 2 dakika ya 45...Bao la 3 lilitoka kwa Mzambia Obrey Chirwa...Amis Tambwe nae alipachika bao la 4 dakina ya 65 na Thabani Kamusoko wa Zimbabwe alipata bao 5 dakika ya 73.

No comments:

Post a Comment