Wednesday 1 February 2017

MAMELODI SUNDOWNS: YOUNG AFRICANS NA SIMBA WAITOSA MAMELODI


Young Africans (Yanga) na Simba Sports Club walipiga chini Mabingwa wa Africa Mamelodi Sundowns...
Mabingwa hao wako nchini kwa mechi za kirafiki lakini wamekuwa wakati mbaya sana kwani ligi ndio imepamba moto huku timu hizo za Yanga na Simba zikisaka ushindi wa ligi kuu..."Hatutacheza na Mamelodi Sundowns kwasababu tuna program zetu ambazo tumezipanga"...Alisema Kocha wa Yanga Lwandamina akiongea na Goal.com... Azam FC pia waliombwa kucheza na Mamelodi lakini wao wakakubali ombi na mechi itafanyika leo usiku uwanja wa Mkapa.

No comments:

Post a Comment