Sunday 12 February 2017

VODACOM PREMIER LEAGUE: SIMBA YASHIKILIA USKANI BAADA YA KUICHAPA PRISONS MABAO 3-0


Simba Sports Club imerudi kileleni baada ya kuichapa Prisons mabao 3-0 ndani ya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...
Pira huo wa Simna na maafande ulikuwa wa kasi sana toka mwanza na kwa upande wa Simba kasi hizo zilizaa matunda mnamo dakika ya 18 kupitia kwa mshambuliaji hatari sana Juma Luizio...


Laiudit Mavugo alipandikiza pasi kali iliyomkuta Ibrahim Ajib na kuandika bao la 2 dakika ya 28...Laudit Mavugo aliwika tena kipindi cha 2 dakika ya 57 kwa kuipatia Simba Sports Club bao la 3...Simba sasa wana pointi 51 na Young Africans (Yanga) wana pointi 49.

No comments:

Post a Comment