Friday 24 February 2017

YOUNG AFRICANS FC: WENYEJI WA KIMBIJI WAFURAHIA KAMBI YA YANGA


Young Africans (Yanga) wako Kimbiji Kigamboni kwenye kambi mahususi kwa game ya kesho dhidi ya watani wao wa jadi Simba Sports Club...
Wananchi wa Kimbiji huko Kigamboni wamefurahishwa sana na ugeni mzito wa wachezaji na makocha wa Yanga...Sema mashabiki wa Yanga walipata tabu kiaina kutafuta wapi wameweka kambi hiyo huku bodaboda na bajaji zikiwa bize sana kuzunguka maeneo ya Kimbiji...Hatimaye walionekana ufukweni wakijifua tayari kwa mechi ya 22 ya ligi kuu.

No comments:

Post a Comment