Thursday, 23 March 2017

YOUNG AFRICANS (YANGA): DONALD NGOMA NA TAMBWE KUKOSA MECHI YA AZAM APRILI MOSI


Donald Ngoma na Tambwe wataikosa mechi muhimu na ngumu kwa Yanga April 1...


Wote wawili wanakabiliana na majeraha na bado hali zao si nzuri...Ngoma anatatizo kwenye fundo la mguu na Tambwe goti...


Wanasumbuliwa na maumivu kwa hiyo wataanza mazoezi mepesi mepesi ilikujiweka fiti kwa michuano ya mbele ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...