Tuesday, 28 March 2017

INTERNATIONAL FRIENDLY: TAIFA STARS YAIBUKA KIDEDEA DHIDI YA JIRANI BURUNDI


Taifa Stars imefanikiwa kuichapa Burundi 2-1 kwenye mechi ya kirafiki ndani ya Uwanja wa Taifa...
Mbaraka Yusuf 'Dogo' anayechezea Kagera ndie aliyewanyanyua mashabiki alipopachika bao la ushindi... Yusuf alitokea benchi na kuweza kufanya mambo... Dogo alipokea pande kutoka kwa Simon Msuva na kuachia shuti hatari lililo gonga mwamba na kurudi ndipo alipowahi na kutandika shuti la ushindi.