Thursday, 2 March 2017

ZACHARIA HANS POPPE: USHINDI DHIDI YA YANGA UWE CHACHU YA UBINGWA


Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba Sports Club amewaambia wachezaji wake wawe na chacu ya ushindi baada ya kuichapa Young Africans 2-1...
"Wanatakiwa kuchukulia ushindi huo kama chachu ya kufanya vizuri zaidi katika machi zijazo na kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu mwishoni mwa msimu." Hans Poppe aliiambia Zubeiry Sports Online...

"Mbio za ubingwa bado ngumu, kama unavyoona hatumwachi mbali sana Yanga, ni tofauti ya pointi mbili, kiasi kwamba tukijiruhusu hata kutoa sare moja tu, watatufikia tena kwa bahati mbaya hakuna mechi tena na yanga msimu huu." aliendelea Poppe...