Tuesday, 14 March 2017

MBWANA SAMATTA: NAHODHA WA TAIFA STARS MBWANA SAMATTA AENDELEZA LIBENEKE UBELGIJI


Mbwana Samatta ambae ni nahodha wa Taifa Stars anaendelea kufurahisha mashabiki wake kwa uwezo wake wa kufunga mabao...
Samatta amefunga bao la kwanza kati ya mabao manne K.R.C. Genk iliyowachapa KVC Westerlo ndani ya uwanja wa Het Kuipje...Samatta sasa anamabao 17 kati ya mechi 48...Safi sana Samatta.

No comments:

Post a Comment