Showing posts with label St. James' Park. Show all posts
Showing posts with label St. James' Park. Show all posts

Friday, 22 July 2016

LIVERPOOL: NETHERLANDS INTERNATIONAL WILJNALDUM KUINGIA THE KOP


Liverpool wamekubali kumchukua Netherlands International, Georgenio Wiljnaldum, kwa Pounds milioni 25 kutoka Newcastle...Wiljnaldum ana miaka 25 na leo atapata ushauri wa daktari ili aweze kukamilisha taratibu za usajili...Bado alikuwa anamkataba wa miaka 4 na St. James' Park...Machezea timu yake ya taaifa mara 30 katika nafasi ya midfielder...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 26 May 2016

NEWCASTLE UNITED: BENITEZ AMEAMUA KUBAKI NEWCASTLE


Raphael Benitez atabakia St. James' Park kwa mkataba wa miaka 3 baada ya Newcastle kushuka daraja msimu uliopita...Benitez aliingia Newcastle mwezi wa 3 baada ya Steve McLarena kutimuliwa kwa kushindwa kuinyanyua Newcastle...Sababu kubwa Benitez amesema ya kubakia Newcastle ni upendo wa mashabiki...Benitez atakuwa anasimamia kilakitu kinachohusu mpira hapo St. James' Park...Bofya hapa upate habari zaidi.