Tuesday 5 January 2016

REAL MADRD: ZIDANE NDANI YA TIZI LA KWANZA


Kocha mpya wa Real Madrid ambae ni legend, Zinedine Zidane, amewapigisha tizi Madrid kwa mara ya kwanza...Mashabiki 6,000 walijitokeza kuangalia mazoezi ya Madrid...



Zidane ambae aliwahi kuichezea timu hiyo alikuwa anaongoza timu B ya Madrid...



Rafael Benitez alifukuzwa baada ya tathmini kufanywa na kubaini timu inahitaju kocha mpya...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment