Wednesday 6 January 2016

NIGERIA: KIONGOZI WA SHIRIKISHO LA SOKA NIGERIA APIGWA RISASI


Kiongozi wa Itifaki ndani ya Shirikisho la Soka nchini Nigeria amefariki kwa kupigwa risasi...Kiongozi huyo kwa jina alikuwa anaitwa Ibrahim Abubakar alifariki kwa kupigwa risadi na majambazi waliovamia nyumbani kwake jijini Abuja...Mchezaji maarufu sana ambar aliwahi kuichezea timu ya Arsnal, Nwankwo Kanu, amesikitika sana na kusema ni habari mbaya na yakusikitisha sana...Abubakar ameacha mke na watoto watatu...Apumzike kwa amani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment