Wednesday 20 January 2016

F1: MSIMU WA AWALI KUANZA CATALUNYA



Timu za Formula 1 karibu zinaanza kujifua kwa msimu mpya utaoanza March 20 nchini Australia...Msimu wa awali utafanyika nchini Spain karibu na jiji la Barcelona viwanja vya Circuit de Catalunya mwezi wa 2 tarehe 22-25 na wa 3 tarehe 1 mpaka 4...Bofya hapa upate habari zaidi


No comments:

Post a Comment