Tuesday 19 January 2016

AUSTRALIAN OPEN: FERNANDO VERDASCO AMCHAPA NADAL



Rafa Nadal ametolewa kwa mara ya kwanza mapema kwenye round ya kwanza ya Australian Open...Katika mechi hiyo kali iliyochukua masaa 4 na dakika 40 Fernando Verdasco alishinda 7-6 (8-6) 4-6 3-6 7-6 (4-7) 6-2...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment