Friday 8 January 2016

MAPINDUZI CUP: AZAM FC YATUPWA NJE


Azam FC yatupwa nje ya michuano ya Mapinduzi Cup baada ya kuanguka 2-1 dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar...Ni mara ya kwanza Azam FC kutolewa katika hatua ya makundi toka ilipoanza kishiriki michuano hiyo...Pamoja na kutolewa Azam walikuwa wa mwisho katika kundi lao wakiwa na points 2 tu...Kocha wa Azam Hall aligoma kuongea na waandishi wa habari baada ya kichapo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment