Wednesday 13 January 2016

EPL: NEWCASTLE NA MAN U NGOMA DRAW KATIKA MOJA YA MECHI KALI MSIMU HUU


Katika mechi zakisisimua msimu huu hii mechi ilikuwa moja kati ya hizo...Newcastle walikomaa na Manchester United walikomaa mpaka mwisho...Manchester ndio waliweza kuwa mbele kwa mabao 2 hapo awali kupitia Wayne Rooney kwa njia ya tuta mapema dakika ya 9 na Lingard dakika ya 38...Newcastle walifanikiwa kusawazisha kupitia Georginio Wijnaldum na Mitrovic kupitia tuta...


Bao lingine la Rooney lilionekana kama ndio la mwisho na la ushindi lakini mambo hayakuenda hivyo kwani bao la Dummet lilibadilisha matokea na timu zikagawana points...Bofya hapa upate habari zaidi.

 

No comments:

Post a Comment