Monday 11 January 2016

DAKAR RALLY: TOBY PRICE ANATAKA NAFASI YA KWANZA



Toby Price ambae yuko nafasi ya 2 kwenye mashindano makubwa na Dakar Rally (Hapo awali yalikuwa yanafanyika Africa lakini yakahamishiwa South America kutokana na mambo ya usalama) kwa upande wa pikipiki amesema anaitaka nafasi ya kwanza...


Toby anatoka Australia anaendesha pikipiki ya aina ya KTM amejitahidi sana wiki ya kwanza kwa kushinda stage 3 kati ya 7 na kuwa dakika 3 na sekunde 27 nyuma ya Paulo Goncalves ambae anaongoza...


Mvua kubwa sana na radi zilifanya wabadikishe ratiba kidogo na kuzuiwa kuendesha kutokana na usalama wa madereva lakini baada ya hapo mambo hayakuwa mabaya sana kwa Price...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment