Sunday 17 January 2016

EPL: MARTINEZ AMEKASIRIKA SANA BAO LA OFFSIDE LA TERRY


Roberto Martinez amekasirika Chelsea kubebwa walipopewa bao la offside kupitia John Terry...Game ya jana dhidi ya Everton ilikuwa kali sana na dakika za nyongeza zilikuwa za utata na ndipo Chelsea walipoponea...Martinez amesema anasikia hasira sana kuhusu bao la offside pia amesema refa ametenda makosa mawili, moja ni la kuongeza dakika 7 na la pili ni bao la offside...Inasemekana kocha wa muda wa Chelsea Guus aliongea na mwamuzi wa 4 ili muda uongezwe...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment