Sunday 10 January 2016

LA LIGA: MECHI YA KWANZA YA ZIDANE YAANZA VIZURI



Zinedine Zidane ameanza vizuri baada ya timu yake ya Real Madrid kuichapa Deportivo La Curuna 5-0...Gareth Bale alijipatia hat-trick na kubeba mpira wake katika mechi ya kwanza kabisa ya Zidane...Karim Benzema alipata bao lake la 100 na alipachika mapema kwenye dakika ya 15...Bado Zidane anamziki mnene na inabidi ajipange lakini kwa sasa anafurahia ushindi mkubwa wa kwanza...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment