Thursday 21 January 2016

AUSTRALIAN OPEN 2016: LEYTON HEWITT AFUNGA UKURASA WA SINGLES BAADA YA KUCHAPWA



Aliyewahi kuwa namba 1 duniani, Leyton Hewitt, ameamua kuachia ngazi...Baada ya kuchapwa na David Ferrer 6-2 6-4 6-4 katika michuano inayoendelea huko Melbourne Australia sasa ameamua kuachana na tennis kabisa...Hewitt amewahi kuchinda vikombe vya singles 30 pamoja na US Open 2001 na Wimbledon 2002...Aliisaidia nchi yake kushinda Davis Cup mwaka 1999 na 2003...Alisema ilikuwa ni heshima kwa yeye kuichezea nchi yake ya Australia na amefurahi kumalizia hapo nyumbani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment